KISWAHILI BOOKS

HEKAYA

Hizi ni hadithi ambazo hutumia wanyama kufunza maadili na tabia mzuri kupitia ubunifu wa fikira. Hadithi hizi husimuliwa kwa kutumia vichekesho vinavyotokana na vile wanyama huiga tabia za binadamu katika hadithi hizi. Maadili hufunzwa vyema wanafunzi wakiwa wachanga ili waimarike ipasavyo.

Mfano wa hadithi ya hekaya:

Wasifu/Tawasifu

Hivi ni vitabu vinavyoeleza maisha ya watu wanaosifika katika jamii kwa kazi mzuri ambayo wamefanya au waliofanya. Wanafunzi hufunzwa historia ya watu hawa ili waweze kuelewa jinsi ambavyo walipambana na maisha hadi wakatimiza ndoto zao.

Mfano wa tawasifu

SHAIRI

Shairi ni mtungo wa maneno unaofuta mtindo fulani katika utunzo wake. Shairi hutumiwa kusisitiza jambo, kufunza, kuburudisha na pia hutumiwa kuigiza katika michezo jukwaani. Shairi hufunza uigizaji na mazungumzo ya hadharani

Mfano wa shairi:

Hadithi fupi

Hadihti hizi ni za mtungo mfupi na hulenga kueleza jinsi mambo yanavyo au yalivyo jiri katika sehemu mbali mbali. Huwa zinazingatia mafunzo kama vile usafi, ukarimu, ubunifu na kadhalika.

Mfano wa hadithi fupi:

© 2016 digitalbooks.co.ke |